Tangazo: Chuo cha Kilimanjaro School of Pharmacy kinapenda kuutarifu umma kwamba, kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watu kutumia jina la chuo chetu kwenye matangazo yao, hivyo basi uongozi unawatahadharisha wananchi na wateja wetu wote hasa kwenye kipindi hiki cha udahili kuwa hakuna chuo chochote nchi hii chenye jina hilo isipokuwa hiki, chuo chetu kipo mkoa wa Kilimanjaro manispaa ya Moshi ndani ya hospitali ya rufaa ya kanda KCMC, kwa mawasiliano zaidi piga namba hii:0746551560 epuka matapeli
Industrial Pharmacy short course
Oral solid dosage forms (Oral tablets) manufacturing and quality assessment
Kilimanjaro School of pharmacy welcomes pharmacist and all heath related professionals from pharmaceutical manufacturing,teaching and research institutions and hospitals to participate in industrial pharmacy hands on training which will be conducted from 21st October 2024 to 02nd November 2024